HOUSE OF REPRESENTATIVES

BARAZA LA WAWAKILISHI

Spika wa Baraza la Wawakilishi  akizungumza  wakati akifungua semina ya Kuwajengea uelewa Waheshimiwa Wajumbe  kuhusiana na mradi wa Kijiji cha Utalii Matemwe (Penny Royal). Semina hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Z. Ocean Kihinani. Mmiliki wa mradi wa Kijiji cha Utalii  Matemwe (Penny Royal), Brian Thomas akitoa  maelezo kuhusiana na Mradi huo. Spika wa Baraza la Wawakilishi , Mhe. Zubeir Ali Maulid, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi Mdogo wa India Visiwani Zanzibar, Balozi T.C. Barupal,  alipotembelewa na balozi huyo Afisini kwake Chukwani Zanzibar mapema tarehe 24/10/2016 kwa mazungumzo. Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zubeir Ali Maulid akiwa katika mazungumzo mafupi na Balozi Mdogo wa India Visiwani Zanizbar, Balozi T.C. Barupal, alipotembelea Afisi yake iliyopo Baraza la Wawakilishi, Chukwani-Zanzibar tarehe 24/10/2016 Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki Mhe. Daniel Kidega akisindikizwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi (kushoto) Mhe. Zubeir Ali Maulid kumlaki Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohammed Shein, katika uzinduzi wa Mkutano wa Tano wa Bunge la Tatu la Jumuiya hiyo.

The Zanzibar House of Representatives is one of the two parts forming the Zanzibar Legislative organ. The Zanzibar President on one part and the Representatives on the other part of the House.

Zanzibar together with Mainland Tanzania forms the United Republic of Tanzania. The House of Representatives is legislative body for non Union matters in Zanzibar, while Union matters are dealt with the Parliament of the United Republic of Tanzania.

As a Representative body of the people, the Zanzibar House of Representatives is mandated to oversight the Government of Zanzibar.

Taarifa kwa Umma juu ya Mkutano wa Nne wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Download

Current Events

Uzinduzi wa Mkutano wa Tano wa Bunge la Tatu la Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.

News from the House

Hon. Zubeir Ali Maulid (Speaker)

Upcoming Events

Stay connected